Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo
anaeshughulikia Kilimo na Maliasili Bibi Maryam Juma Abdullah
(aliyesimama) akiwakaribisha ugeni kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo
ya Tanzania (TADB).
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo
anaeshughulikia Kilimo na Maliasili Bibi Maryam Juma Abdullah
(aliyesimama kulia) akizungumza wakati wa ugeni kutoka Benki ya
Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania (TADB) ulipotembelea Wizara ya Kilimo,
Maliasili, Mifugo na Uvuvi. Ugeni huo upo visiwani Zanzibar kuangalia
maeneo ya uwekezaji visiwani humo. Wanaomsikiliza ni Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis Assenga (kushoto) na wajumbe wa Bodi
ya TADB, Bw. Hussein Mbululo (wapili kushoto) na Bibi Rehema Twalib
ambaye ni Mkuu wa Msafara huo (wapili kulia).
No comments:
Post a Comment