Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman mara baada
ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman
Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment