Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(kushoto) akisalimiana na Chief wa kihehe Evaristo Sambiligunga Mwambeta
alipokutana na machief wa kihehe kuzungumza nao kuhusu namna ya
kuhifadhi historia ya ukomboziwa Bara la Afrika kwa vizazi vijavyo jana
Mkoani Iringa
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(kulia) akizungumza na Machief wa kihehe (hawapo pichani) alipokutana
nao kuzungumzia namna ya kuhifadhi historia ya ukombozi wa Bara la
Afrika kwa vizazi vijavyo jana Mkoani Iringa
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(wapili kulia) katika picha ya pamoja na machief wa kihehe baada ya
kuzungumza nao kuhusu namna ya kuhifadhi historia ya ukomboziwa Bara la
Afrika kwa vizazi vijavyo jana Mkoani Iringa
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(watatu kushoto) akiwasili katika makumbusho ya Mtwa Mkwawa yaliyopo
Kalenga kwa ajili ya kuona naoma makumbusho hiyo inavyohifadhi na
kuendeleza historia ya shujaa Mkwawa aliyepigana vita vya msituni wakati
wa harakati za kuwakomboa wahehe kutoka kwa utumwa wa wajerumani jana
Mkoani Iringa. Watatu kulia ni Mratibu wa Programu ya Urithi wa Ukombozi
wa Bara la Afrika Bibi. Ingiahedi Mduma
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(wapili kushoto) akiangalia fuvu la Mtwa Mkwawa alipotembelea makumbusho
ya Mkwawa yaliyopo Kalenga kwa ajili ya kuona naoma makumbusho hiyo
inavyohifadhi na kuendeleza historia ya shujaa Mkwawa aliyepigana vita
vya msituni wakati wa harakati za kuwakomboa wahehe kutoka kwa utumwa wa
wajerumani jana Mkoani Iringa.
Mtaalamu
kutoka makumbusho Mkwawa (kulia) akimuonyesha Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrion Mwakyembe (wapili kulia) baadhi
ya vifaa alivyotumia Mtwa Mkwawa wakati wa harakati za kuwakomboa wahehe
kutoka katika utumwa wa wajerumani jana katika makumbusho ya Mkwawa
iliyopo katika Halmashauri ya Iringa Mkoa wa Iringa.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(katikati) akiwa ameshika silaha za jadi alizokuwa anatumia Mtwa Mkwawa
wakati wa harakati za kuwakomboa wahehe kutoka katika utumwa wa
wajerumani jana katika makumbusho ya Mkwawa iliyopo katika Halmashauri
ya Iringa Mkoa wa Iringa.
No comments:
Post a Comment