MAKUSANYO YA KODI TRA YAONGEZEKA, TRLIONI 11.78 ZAKUSANYWA KWA MIEZI 9
Mamlaka
ya Mapato nchini (TRA) imekusanya Tsh. 11.78 Trilioni katika kipindi
cha miezi tisa ya mwaka wa fedha 2017/18 kuanzia Julai 2017 hadi Machi
2018, ikilinganishwa na Tsh. 10.86 Trilioni ambazo zilikusanywa katika
kipindi cha mwaka wa fedha 2016/17, ambacho ni sawa na ukuaji wa 8.46%.
No comments:
Post a Comment