Picha
zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Marubani wa Ndege ya abiria ya ATCL
wakati akielekea kupanda ndege hiyo kuelekea mkoani Kilimanjaro na badae
mkoani Manyara kwa ajili ya shughuli mbalimbali za Kitaifa mkoani humo.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akipanda ndege hiyo ya abiria ya Shirika la Ndege la ATCL kuelekea
mkoani Kilimanjaro na baadae mkoani Manyara. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment