Surveyed plots for sale: Bunju na Mapinga (Baobab Sec, km 5 kutoka Bunju-DSM)
Kiwanja cha sqm 3400 kipo Bunju (kimepimwa na hati ipo), bei yake ni sh 102 mil (negotiable).
Viwanja
vya sqm 1578, sqm 1985, sqm 2386, sqm 3018 vipo Mapinga, Baobab sec, km
2.5 kutoka main road. (vimepimwa, hati zinatolewa ndani ya mwezi mmoja)
na bei ya kila sqm ni sh 13,000/=
Viwanja
vya sqm 800, sqm 900, sqm 1200 na sqm 1400 vipo Kimele (km 3 kutoka
main road), vimepimwa lakini hati za kusubiri na bei ya kila sqm ni sh
10,000/=
Huduma za kijamii (maji, umeme) zipo na miundombinu yote iko vizuri (mradi wa kusogeza lami mpaka nyumbani umeanza).
Hakuna dalali, contact mhusika: call 0758603077, whatsap 0757489709




No comments:
Post a Comment