KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 18, 2014

MWENYEKITI WA SHIRIKA LA NYUMBA ZA SERIKALI DUBAI AMTEMBELEA MKUU WA MAJESHI NCHINI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiHTTicMjNE0upJwyCkxiP6JHp6NoEsS-Kg2xxmIugXkMwLg5kK1oaPSkLC7pRPSkCmUH14NgE5Fggzx2jiQ9MF2xpfCfuhjpirXMEnRWqlHxGZbR9AxrUPeR5crS4ilLSuN6evOtf_obPq/s1600/DSC_1580.JPG
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi chini Mhe. Davis Mwamunyange (kushoto), akizungumza na Mhe. Ali Rashid Ahmed Lootah (kulia), mara baada ya kuwasili ofisini kwake. Mhe. Lootah katika ziara yake anaangalia fursa za uwekezaji wa Uchumi, Ujenzi wa Nyumba na Makazi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhr6VfP4JeqNX2rNmk5f2DFofZcszdUOZBSdFbg9NlKRW02kBj1P7KN3ftW70P1rSCcKZSn-SJfEcQjrLEvvQd9VkbJkoekbsrFEvS_mFiah7S-uPkbUfNu30YixRrH5xx9Cnhzmx5ZmxL2/s1600/DSC_1638.JPG
Kulia ni Balozi Mdogo Omary Mjenga, akizungumza jambo huku Mhe. Davis Mwamunyange (wakwanza kushoto), na Mhe. Lootah (katikati), wakimsikiliza wakielekea nje baada ya kumaliza mazungumzo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPQxw3uE5lZPhtFzH2KyeeQcK8d3EXZ-IKir3oJcAkGKUgTotg6RXwAynFljylTCbkyl2Idj7FOvA2ODbFrcuKwso532aZgf_V9RWOs8FKeldj9YZSvBdLgkLiH-9U-B2QRovhua-6-yEP/s1600/DSC_1645.JPG
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment