KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

December 23, 2014

BREAKING NEWS:KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI ASIMAMISHWA KAZI

Katibu Mkuu Kiongozi, Eliakim Maswi . Habari zilizotufikia hivi punde   zinasema kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi amesimamishwa kazi.Taarifa kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi zinasema kwamba Katibu huyo amesimamishwa kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo Katibu Mkuu Kiongozi wakati uchunguzi dhidi ya tuhuma zake ukifanyika. Anahusihwa na sakata la Escrow.

1 comment:

  1. watoe wote tu hakuna wa kubaki huo ndio ukweli ningekuwa muhongo nijiudhuru mapema

    ReplyDelete