KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 25, 2014

DK SHEIN AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA

IMG_2747KATIBU Mkuu  Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, akizungumza wakati wa Mkutano huo na Wakuu wa Mikoa na Wilaya walipokutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu Zanzibar.
IMG_2756RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya wa Zanzibar, wakati alipokutana nao Ikulu Zanzibar leo 25/102014.(Picha na Othman Maulid)

No comments:

Post a Comment