Makamu
wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal,
akiweka saini katika kitabu cha wageni, (kulia) ni Naibu waziri wa
Wizara ya Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo , Juma Nkamia.
Msanii Aisha Mashauzi akitoa burudani katika Maadhimisho hayo.
Baadhi ya wadau wa sanaa
Wanahabari wa katika eneo ya kila mmoja apate anacho kihitaji katika maadhimisho hayo.
Baadhi ya wadau wakifatilia kwa makini mtanange huo.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akimkabidhi Tuzo, Katibu wa chama cha Ushirika Tingatinga , Rashid Munyana, Dar es Salaam jana katika Ukumbi wa Mlimani City, (kulia) na kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo , Juma Nkamia.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal(katikati) akimkabidhi Tuzo, Katibu wa chama cha Ushirika Tingatinga, Rashid Munyana, Dar es Salaam jana katika Ukumbi wa Mlimani City, (kulia) na kushoto ni Naibu waziri wa Wizara ya Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo , Juma Nkamia.
Katibu wa chama cha Ushirika Tingatinga, Rashid Munyana (kushoto), akibusu Tuzo hiyo baada ya Kutunukiwa tuzo hiyo na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib
Bilal Daes Salaam jana katika Maadhimisho ya siku ya Wasanii Duniani
iliyo fanyika katika ukumbi wa Milmani City jana (kulia) ni mgeni rasmi
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal.
Makamu
wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal,
(kulia) akimkabidhi Tuzo , Ofisa Habari Mkuu wa Baraza la Sanaa la
Taifa (BASATA) Agnes Kimwaga,(kushoto)


No comments:
Post a Comment