Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda, akipta maelezo kutoka kwa Katibu wa Bunge la Oman, Ali Nasser Al Mahrouqi, namna ya mfumo wa uendeshaji wa kisasa wa Bunge ulivyo katika Bunge la Oman. Bunge hilo limeacha kutoa hotuba/ nyaraka kwa njia ya makaratasi na sasa wanatumia njia ya mtandao (e-Perliament). |
Mhe. Spika Sheikh Khalid Al Maawal, akifafanua jambo kwa Mhe. Makinda, kuhusu ukumbi wa Bunge la Majlis A'shura. |
Mhe. Anne Makinda, akihojiwa na TV ya Oman kuhusu ziara yake. |
No comments:
Post a Comment