KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 25, 2014

MKUTANO WA KUANDAA RAMANI YA MJI WA ZANZIBAR.


04Mkuu wa Mkoa Mjini Mgharibi, Maalim Abdalla Mwinyi Khamis, ambae alikuwa Mwenyekiti wa mkutano wa Mpango  wa kuandaa ramani ya Mji wa Zanzibar akizungumza na washiriki wa mkutano huo.
 06   Baadhi ya washiriki wa mkutano uliojadili mpango wa kuandaa Ramani ya Mji wa Zanzibar, wakifuatilia maelezo yaliyotolewa kwenye mkutano huo katika Hoteli ya Marumaru.
03Mshauri mwelekezi kutoka Kampuni ya Shapira Hellerman ya Israel, Jos Hellerman, akitoa taarifa  ya Ramani ya Mji wa Zanzibar katika mkutano uliozungumzia mpango wa kuandaa matumizi bora ya Ardhi.
 01Mkurugenzi  Mipango Miji na Vijiji, Muhammad Juma (kulia), akitoa maelezo kwa washiriki wa mkutano wa kuandaa Ramani ya Mji wa Zanzibar uliofanyika Hoteli ya Marumaru, Shangani.

No comments:

Post a Comment