KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 27, 2014

NDONDI MWISHONI MWA WIKI

Bondia Hassan Mandula kulia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mohamed Jaka, Mandula alishinda kwa TKO ya raundi ya pili picha na SUPER D BLOG
Bondia Hamza Mchanjo kushoto akipambana na Juma Fundi wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Frends Corner Manzese, Fundi alishinda kwa pointi mpambano huo wa raundi sita.
Bondia Said Mbelwa akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wa mpambano huo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgi-mFqnSrSZloNLORc3s4KfxmQqfQNa79NaRCMI6hMbPdlbVDcJI8Vn25oK0PHQ-BMTw4Rguosa5uazVQvRH1U2Mdqn8GIJzIIXrl_25Jh4Mou6TcNGJ6YLNHx13F_XI5hjGEwcut-KfH-/s1600/IMG_2451.JPG
Bondia Georger Dimoso kushoto akipambana na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamoso iliyopita Mbelwa alishinda kwa pointi mpambano huo wa raundi nane.                                                                                              

No comments:

Post a Comment