KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 25, 2014

PINDA ZIARANI POLLAND

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,  akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland Jijini Warsaw, akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. Wengine Pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland, Bw. Marek Kloczko, Naibu Katibu  Mkuu wa  Wizara ya Mambo ya Nje ya Polland, (Under Secretary Of State Ministry of Foreign Affairs), Bi. Katarzyna Kacperczyk na Bw. Jerzy Pietrewiez, ambaye ni  Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi ya Polland. 
PG4A6721
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Watanzania waishio Polland, baada ya kuwasili Jijini  Warsaw kwa ziara ya kikazi  Oktoba 24, 2014.
 PG4A6747
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland  Jijini Warsaw, akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014.
  PG4A6770
Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda, wakati alipowahutubia Jijini Warsaw Oktoba 24, 2014.
 PG4A6813
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akikagua matrekta yanayotengenezwa katika kiwanda cha  ROL- BRAT,  kilichopo Warsaw Polland, akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014.
 PG4A6832
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akikagua matrekta yanayotengenezwa katika kiwanda cha  ROL- BRAT  kilichopo Warsaw Polland, akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014.
 PG4A6897 
Waziri Muu, Mizengo  Pinda, akipata maelezo kutoka kwa mshauri wa uchumi nchini Polland, Bw. Aleksandr Zincman (kushoto),  kuhusu usindikaji ngano wakati alipokagua kiwanda cha kusindika unga   cha  Chojnow nchini Polland, akiwa kayika ziara ya kikazi nchini huo Oktoba 24, 2014.
  PG4A6900 
Waziri Muu, Mizengo  Pinda, akipata maelezo kutoka kwa mshauri wa uchumi nchini Polland Bw, Aleksandr Zincman (kushoto),  kuhusu usindikaji ngano wakati alipokagua kiwanda cha kusindika unga   cha  Chojnow nchini Polland, akiwa kayika ziara ya kikazi nchini huo Oktoba 24, 2014.
  PG4A7041 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akipata maelezo kutoka  kwa mshauri wa uchumi nchini Polland, Bw. Aleksandr Zincman (kulia), wakati alipotembelea  kiwanda cha kutengeneza  maghala ya kuhifadhia nafaka (silos), mashine za kukausha nafaka na mashine za kusafisha nafaka, cha Chojnow nchini Polland, akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment