KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 23, 2014

PSPF, YAANDAA CHAKULA CHA JIONI KWA WAALIMU MJINI MOROGORO.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgzGcDi6KrAnMG7IBadTFa5VNEGNr-I12L5X1Jeecn0YvB1S_Tjuo1A9p84-GxW950rXQZMqFjLbY-MfUecPmtxkGDJK9ITRpP64LJs7EVeqqIvVLjErxMSRRl5kLfDtyQk7HAFcpEefoqs/s1600/unnamed+(37).jpg
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu (kulia), akiteta jambo na Kamanda wa Polisi wa MKoa wa Morogoro, Afande Leonard Paul, wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa na mfuko huo ,kwa baadhi ya wachezaji wa Polisi wa Timu ya Morogoro, na wajumbe wa idara ya utumishi wa waalimu waliohudhuria semina ya siku moja iliyo andaliwa na mfuko huo Mkoani Morogoro.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj2MWRvb80TwvUPnRfdiW4k-O0bsstDu2KRPc7AQ-WJmgGWH6G0GtAa_RIppWXnOn3Ze8fBTdnbfPH-RXVDgSJoqgz9tTi1OPkfHQ3AUcDz6HpJrxHte2cYdzNvjEWZLfTZbVQrQtL0zqK9/s1600/unnamed+(39).jpg
Mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akizungumza na wajumbe wa idara ya utumishi wa walimu, wakati wa chakula kilichoandaliwa na mfuko huo mjini Morogoro, wajumbe hao wanatarajia kuhudhuria semina ya siku moja iliyoandaliwa na mfuko huo ili kuelimisha waalimu faida  wanazoweza kupata kutokana na mfuko huo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhLDMFtIwdZKMW6lZ0kUv616tMbaF2dDkHGoreK3GOEUayREotrSjIgB5H8YRIgtCES1SfJ8WG_VsUlQsLM4gj7RT-X7PuyzXSri3ba5JhYfVuwEcz7KilTlhAkYFnhsuJ6ISmnxG_9wbN0/s1600/unnamed+(41).jpg
Meneja wa Hiyari wa uchangiaji wa mfuko wa Penseni wa PSPF, Mwanjaa Seme, akiwasalimia waalimu ambao  ni wajumbe kutoka idara ya utumishi wa walimu kutoka idara ya utumishi wa walimu katika chakula cha usiku kilichoandaliwa na PSPF, ili kueleza mafaniko yote yanayotokana na mfuko huo, semina hiyo iliyofanyika Mkoani Morogoro.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtWwFxqhnhI8RqCJWc8CcpfU47KDLORb6fP3uDF5kNg8eTN_he4_fIeMpFKT_RtFYEyEmZfLcCR-9wxp2UyGsq89Rk7p3nHPc0l4VRJ82Y0Bltw4FZr7doH87IaW1zAUi7EUZD5BY83HNO/s1600/unnamed+(42).jpg
Msanii Mrisho Mpoto, ambae pia ni  Balozi wa Mfuko wa  Pensheni wa PSPF ,akiimba na baadhi ya Walimu na Maafisa wa mfuko huo, wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa na PSPF kwa wajumbe wa idara ya Utumishi wa Walimu waliohudhuria semina ya siku moja iliyoandaliwa na mfuko huo Mkoani Morogoro.

No comments:

Post a Comment