KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 22, 2014

WAZIRI KAWAMBWA AFANYA ZIARA MKOANI MOROGORO

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhoG42MNHMFt5-N-usX2fDxn0kMAPCH3PeU8CJc3lB3BYon6DxFyT-PtY3N86uuGxJ6HO9EpzzpQTHAd7dubc-r7VXDAqjyOhLlNlpJ9H8sPQxuqqMQOZixJm9HxruiPYJvtfgygg_K4xdF/s1600/Waziri+Dk+Kawambwa+(%2Bsuti%2Bnyeusi)%2Bakipata%2Bmaelezo%2Bya%2Bmatumizi%2Bya%2Bmkaa%2Brafiki%2Bunaotengenezwa%2Bna%2Bpumba%2Bza%2Bmpunga%2Bna%2Bvumbi%2Bla%2Bmbao%2Bna%2Bkupunguza%2Bgharama%2Bya%2Bmatumizi%2Bya%2Bgesi%2Bna%2Bkuni%2Bkwa%2Bhuduma%2Bza%2Bchakula%2Bshuleni%2Bhapo.JPG
Waziri Dk.Kawambwa Mwenye (suti nyeusi), akipata maelezo ya matumizi ya Mkaa rafiki unaotengenezwa na pumba za mpunga na vumbi la mbao na kupunguza matumizi ya Gesi na kuni kwa huduma za chakula shuleni hapo.  

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhAXc_WtehnbtPDbevujmPeOKHo5TuU2t3-BL11bW-nJXCMVq7s0Vqv-IjrA_hEx7N0zqK-u001qA0lH7T1KZFlShAPfKCpSTESeS5c0s9Fm8fnHIFaFJLZsAaCf55Xe-m78CRjU_HAGuwf/s1600/Waziri+Dk+Kawambwa+(suti%2B)%2Bakisikiliza%2Bmaenezo%2Bya%2BMwalimu%2Bwa%2BSomo%2Bla%2BFizikia%2Bwalipotembelea%2Bmaabara%2Bya%2Bsomo%2Bhilo..JPG
Waziri Dk. Kawambwa (mwenye suti nyeusi), akisikiliza maelezo ya Mwalimu wa somo la Fizikia walipo tembelea Maabara ya somo hilo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiQSEKiU0hB7FVlnpkH382xiOzNUroHtkYQ-TgyNMOPvDg5WWgjv-qkjEV7dLx9c3RRJgmLJpmVrMBMdVFEesNBDNTCGq9kRxh38dLa_AtDCtS-Nt4iKOWrzcMnXsj-H1KZ_dpLYD8oSCHn/s1600/Waziri+Dk+Kawambwa+akipata+maelezo+ya+Mkuu+wa+Shule+hukusu+somo+ya+upishi+kwa+wanafunzi+wa+Sekondari+Kilakala..JPG
Waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi, Mh.Shukuru Kawambwa (suti nyeusi kulia), akifafanua jambo wakati akizungumza na Mkuu wa Shule ya sekondari Kilakala ya Wasichana ya vipaji maalum,Tabitha Tusekele, wakati Waziri huyo akitoka kuangalia vyumba vya Kemia, fizikia na baologia, na Majengo mengine yaliyopo Shuleni hapo alipo fanya Ziara na  kuzungumza na Wanajumuiya wa Shule hiyo.

No comments:

Post a Comment