KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 1, 2014

WIZARA YA HABARI SHIMIWI MORO

Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo waki wa katika picha ya pamoja kabla ya mtanange dhidi ya RAS Simiyu leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro.
Wachezaji Johari Kachwamba (kulia) na Hadija Omari Jaa (kushoto) wakiwa kwenye harakati za kuwania mpira wakati wa mechi kati ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. (Picha zote na Eleuteri Mangi-MAELEZO                                          

No comments:

Post a Comment