John Cheyo Mbunge wa Baridi Mashariki (UDP) anasema kwa Escrow ni fedha za Umma , hizi ni hela za umma, ziliwekwa kwa mtu (BOT) ili wakimaliza tatizo lao Tanesco na IPTL, ingewezekana kwamba hela hizo zingerudi serikalini.
"Serikali ilitoa bilioni 40 na nyingine ni Tanesco walitoa sasa mnabishana ni hizo ni fedha za umma, mtu asisimame hapa kusema hizi hela si za serikali," Huyu Singasinga(sethi) Singa kaja kutuvuruga vuruga... sasa Mwigulu Nchema hizi hela utazipata wapi? nakuonea huruma.
Akasema hii IPTL ni sawa na donda ndugu,lazima ufumbuzi utafutwe.


No comments:
Post a Comment