KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

November 27, 2014

MHE.PINDA AMWABIA MBOWE SUBIRI UKWELI UTAJILIAKANA TU

Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda, (pichani) amemwambia Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungen Mhe.Freeman Mbowe kwamba asubiri muda ukifika ukweli wa suala la Escrow utajulikana. Mhe.Pinda  alikuwa akijibu swali la nyongeza la Mh.Mbowe ambaye alitaka kujua iwapo Mhe.Pinda atajiuzulu. "Mengi yamesemwa, sasa nadhani wakati utafika Bunge na Watanzania watapata nafasi ya kufahamu ukweli wa suala hilo," alisema Mhe.Pinda na kuonegeza kwamba kujiuzulu si jambo la ajabu, lakini kwanza ukweli ufahamike.          Kwa mujibu wa Mhe.Spika, Anne Makinda, serikali itajibu hoja za Kamati ya Zito leo, kamati hiyo jana iliwataja baadhi ya vigogo kuhusika katika muamala wa kugawana fedha za akaunti ya Escrow.Ilikuwa ni katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Bungeni leo asubuhi

No comments:

Post a Comment