KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

November 24, 2014

SPIKA AGOMA ESCROW KUJADILIWA SASA

 Tundu Lissu Mbunge ametaka suala hilo lijadiliwe lakini Spika Anne Makinda anasema kwamba "ninaheshimu taaluma yako lakini sasa ninyi mmesaidia kumshika anayesambaza nakala hizo hizo.Tuwaache polisi wafanye kazi zao. Lissu ni Mwanasheria.

Mnyika anasema kwamba sula la Escrow limewanyima wanafunzi mikopo "rudisheni kwanza fedha hizo wanafunzi wapate mikopo," anasema Mnyika 

Kuna mtu mmoja ameshakatwa Dodoma kwa kudaiwa kusambaza nakala za ripoti iliyowasilishwa Bungeni kuhusu Escrow.

Kwa ujumla wabunge wanang'ang'ania suala hilo lijadiliwe lakini Mhe.Spika amegoma, limepagwa kujadiliwa kwa siku mbili tarehe 26-27 mwezi huu. 

Spika Anne Makinda

No comments:

Post a Comment