KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

December 23, 2014

DKT SLAA:SI SAHIHI KUSEMA FEDHA ZA IPTL SI ZA UMMA

 Dkt Wilbroad Slaa anasema kwamba Rais anaposema kwamba hakuna fedha ya serikali inatoa picha ambayo si nzuri.Anasema kwamba kwa kuwa kulikuwa na fedha za umma kama kodi si vema kusema hizo ni pesa za IPTL
Rais ametumia busara kwasababu sheria imefata mkondo wake anasema Angela Kiziga kada wa Chama Cha Mapinduzi.
Idira ambaye ni mkazi wa Dar es Salaam anasema kwamba Rais amefanya uamuzi mzuri na kwamba Rais hataki kumuonea mtu yoyote  naye

No comments:

Post a Comment