KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

December 21, 2014

HAZINA SACCOS YAKABIDHI VIWANJA AMBAVYO NI RASMI 150 KWA WANANCHAMA

05 Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina wakifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum wakati wa kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofanyika viwanja vya Makumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) jijini Dar es salaam. 06 07 Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofanyika viwanja vya Makumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) jijini Dar es salaam. 08 Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina waliokabidhiwa hati zao za viwanja mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofanyika viwanja vya Makumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) jijini Dar es salaam. Mkutano huo unaongozwa na kauli mbiu isemayo “Viwanja Rasmi Suluhisho la Makazi Bora”. (Picha zote na Eleuteri Mangi).

No comments:

Post a Comment