KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

December 19, 2014

KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA OFISI ZA tAGLA

 Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue (wanne Kushoto) akifuatilia kwa umakini mazungumzo kwa njia ya mtandao na watu wa Kenya, alipotembelea ofisi ya Wakala wa Mafunzo kwa njia ya mtandao (TaGLa),leo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue (wanne Kulia) akitoa neno la shukrani kwa watu wa Kenya baada ya  mazungumzo kwa njia ya mtandao , alipotembelea ofisi ya Wakala wa Mafunzo kwa njia ya Mtandao (TaGLa),leo jijini Dar es Salaam, kulia kwake ni  Mkuu wa Chuo cha IFM  Pro. Daniel Mjema, wa kwanza kushoto ni  Katibu Mkuu Ofisi ya Rais  Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bwana George Yembesi na Mkurugenzi Mtendaji wa TaGLA, Bwana Charles Senkondo. Wajumbe wa bodi ya Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao(TaGLa) wakifuatilia mazungunzo  kwa njia ya mtandao na watu wa Kenya, Mafunzo kwa njia ya mtandao (TaGLa),leo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue (wa tatu kushoto)

No comments:

Post a Comment