Rais
wa Marekani Mhe. Barack Obama amesifia uvaaji wa fulana wa mchezaji wa
mpira wa kikapu Lebron James wakati alipokua akifanyiwa mahojiano na
gazeti la the people magazine. Rais Barack Obama alipouliwa swali hilo
nini mtizamo wake alisema nadhani ni jambo zuri kwa mchezaji huyo na
wengine waliopaza sauti zao kuwakilisha mawazo yao kwa mambo yaliyotokea
ya kuuwawa kwa Wamarekani weusi na polisi huko Ferguson jimbo la
Missouri na Brooklyn New York na baadae mahakama kuwaachia huru polisi
hao waliofanya mauaji hayo kwamba walikua wakitekeleza wajibu wao wa
kazi.
I can;t Breathe ni maneno ya mwisho aliyeongea Eric Garner kabla ya kukata roho baada ya kukabwa koo na polisi wakati walipokua wamekwenda kumtia mbaroni.
I can;t Breathe ni maneno ya mwisho aliyeongea Eric Garner kabla ya kukata roho baada ya kukabwa koo na polisi wakati walipokua wamekwenda kumtia mbaroni.
No comments:
Post a Comment