KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

December 20, 2014

TELA LA MAFUTA LAPINDUKA MATAA YA VETA

Lori la mafuta limekata tela lenye namba za usajili T 172ABT na kupinduka jioni hii katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela jijini Dar es Saam kwa kile kilichoelezwa na baadhi ya mashuhuda kuwa ni mwendo kasi aliyokuwa nao dereva wa lori hilo aliyekuwa akikata kona akitokea mjini Barabara ya Nyerere kwenda barabara ya Kawawa.Mafuta aina ya petroli yakimwagikaPolisi Usalama barabarani wakilinda eneo hiloTela hilo T 172ABT likiwa limepinduka

No comments:

Post a Comment