![]() |
| Makamu Mwenyeki wa CCM,Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, mara baada ya kuwasili mapema leo kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba kwa ajili ya kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya CCM,ambayo Kitaifa zitaadhimishwa mjini Songea mkoani Ruvuma.Pichani Kati ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye pia amewasili leo na Ujumbe wake kwa ajili ya ziara ya siku tano ya Kujenga na Kukiimarisha chama cha CCM. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akimpokea Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein mara baada ya kuwasili mapema leo kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba kwa ajili ya kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya CCM,ambayo Kitaifa zitaadhimishwa mjini Songea mkoani Ruvuma. |
![]() |
| Makamu Mwenyeki wa CCM,Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mjumbe wa kamati ndogo ya Maadili,Dkt Maua Abeid Daftari, mara baada ya kuwasili mapema leo kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba kwa ajili ya kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya CCM,ambayo Kitaifa zitaadhimishwa mjini Songea mkoani Ruvuma |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye wakiwasili mapema leo kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba kuanza ziara ya siku tano ya Kujenga na Kukiimarisha chama.Ndugu Kinana pia amempokea Rais wa Zanzibar Dkt.Shein mapema leo kwa ajili ya kushiriki sherehe za maadhisho ya miaka 38 ya CCM,ambayo Kitaifa zitaadhimishwa mjini Songea mkoani Ruvuma. |






No comments:
Post a Comment