KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

January 19, 2015

MBUNGE JAMES MBATIA AWASHUKURU WANANCHI JIMBO LA VUNJO KUKIUNGA MKONO CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi ,James Mbatia akitafakari jambo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Ghalani ,mji mdogo wa Himo ,mkutano uliokuwa na lengo la kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Vunjo kukipa chama hicho viti vingi katika uchaguzi wa serikali za Mitaa,vijiji na Vitongoji.
Baaadhi ya viongozi waliochaguliwa wakati wa uchaguzi wa serikali za Mitaa,vijiji na Vitongoji uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana.
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ,(Chadema) jimbo la Vunjo wakiteta jambo wakati wa mkutano wa hadhara  uliofanyika katika viwanja vya Ghalani ,mji mdogo wa Himo ,mkutano uliokuwa na lengo la kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Vunjo kukipa chama hicho viti vingi katika uchaguzi wa serikali za Mitaa,vijiji na Vitongoji.
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ,Ndolakindo Kessy akizungumza katika  mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Ghalani ,mji mdogo wa Himo ,mkutano uliokuwa na lengo la kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Vunjo kukipa chama hicho viti vingi katika uchaguzi wa serikali za Mitaa,vijiji na Vitongoji.
Mmoja wa wakazi katika jimbo la Vunjo ,Elizabeth Mrema  akimkabidhi Mbunge wa kuteuliwa na Rais ,Mh James Mbatia zawadi ya shati la Kitenge kwa niaba ya wakazi wa jimbo la Vunjo ,kuipeleka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu ,Joseph Waryoba.

No comments:

Post a Comment