“Katiba hii ya CCM imesheheni kila kitu.. tatizo ni baadhi ya watu kusuasua katika kuyatekeleza” anasema Nape.
Nape akimaliza kutoa mada yake
kwa kuwaomba watanzania kuhakikisha nchi inapata mgombea wa Urais aliye
bora na siyo kwenye kuinunua nafasi hiyo muhimu
Nape akirejea kuketi baada ya kutoa mada kwa zaidi ya saa moja na nusu kwenye semina hiyo
Washiriki wakimshangilia Nape baada ya mada yake
Nape akijibu maswali yaliyoulizwa na washiriki baada ya kutoa mada yake
' Mtume na Nabii' Mwingira akitoa maelezo kusadifu maneno aliyotoa Nape katika mada yake.








No comments:
Post a Comment