Nyumba
ya Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni Mstaafu, John Komba (CCM),
yapigwa mnada. Nyumba hiyo ipo Kinondoni Maeneo ya Mbezi katika Jimbo la
Kawe. Nyumba hiyo ipo katika kitalu namba 1030. Habari hii imechapishwa
kwenye Gazeti la The Guardian la leo ukurasa wa 11.Siku za nyuma Komba
alikua anadaiwa na bank ya CRDB millioni 900 aloshindwa kulipa. Hapo
nyuma alijenga Shule inayooitwa Bakil Muluzi kule maeneo ya Mbweni,
lakini biashara haikwenda vizuri. Ile Shule haifanyi vyema sana
kibiashara. Nahisi hii ndo itakua sababu ya Kupigwa mnada kwa hii
nyumba.
January 20, 2015
NYUMBA YA JOHN KOMBA YAPIGWA MNADA

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment