| Baadhi ya waratibu mbalimbali wa Vikundi vya Benki za Kijamii VIKOBA wakimsikiliza Meneja huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Simon Martin,alipokuwa akitoa mafunzo juu ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti,mafunzo hayo yalifanyika makao makuu ya vikundi hivyo vya Benki za kijamii jijini Dar es Salaam yakiwa na lengo la kuwawezesha kujua namna ya kutumia mawasiliano katika kuboresha shughuli zao. |
Meneja
huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Simon Martin(kushoto)akimwelekeza
Mratibu wa Ofisi ya Rais Roda Richard(kulia) jinsi ya kupata huduma
rahisi za mawasiliano kupitia simu ya kisasa aina ya smart phone wakati
wa mafunzo maalumu kwa vikundi hivyo vya Benki ya Kijamii juu ya
matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti.Mafunzo hayo
yalifanyika makao makuu ya vikundi hivyo vya Benki ya Kijamii
jijini Dar es Salaam leo, yakiwa na lengo la kuwawezesha kujua namna ya
kutumia mawasiliano katika kuboresha shughuli zao aneshuhudia katikati
ni Katikati ni Liliansia Joachim.
|
| .Mratibu utekelezaji wa VICOBA Valeria Nguma(wapili toka kulia)akifafanuliwa jambo na Meneja huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Stima Mgeni wakati wa mafunzo maalumu kwa vikundi hivyo vya benki za kijamii juu ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti,Mafunzo hayo yenye lengo la kuwawezesha kujua namna ya kutumia mawasiliano katika kuboresha shughuli zao yalifanyika makao makuu ya vikundi hivyo vya Benki za Kijamii jijini Dar es Salaam leo. |


No comments:
Post a Comment