KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 19, 2015

BALOZI WA SAUDIA AMUAGA RAIS KIKWETE

rai3
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimuaga Balozi wa Saudi Arabia anayemaliza muda wake Mhe.Hani Abdullah Mominah wakati baliozi huyo alipokwenda ikulu kuagana na Rais leo
rai01
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu na kufanya mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia anayemaliza muda wake Mhe.Hani Abdullah Mominah wakati baliozi huyo alipokwenda ikulu kuagana na Rais leo.
rai1
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia anayemaliza muda wake Mhe.Hani Abdullah Mominah wakati baliozi huyo alipokwenda ikulu kuagana na Rais leo.

No comments:

Post a Comment