Aliyekuwa
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na kuvuliwa wadhifa huo
kufuatia sakata la Escrow, Prof. Anna Tibaijuka akitoka kikaangoni
wakati wa mapumziko mafupi kuwapa nafasi viongozi wa Tume ya Maadili ya
Viongozi wa Umma kujadili.
Prof. Anna Tibaijuka akizungumza na vyombo vya habari nje ya ukumbi wa Karimjee wakati wa mapumziko mafupi mchana huo.
Prof.
Anna Tibaijuka ajiandaa kupanda gari lake wakati wa mapumziko mafupi
kuwapa nafasi viongozi wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma kujadili.
*Awabana kwa vifungu vya sheria na kanuni zaidi ya masaa 3
Mwandishi
Andrew Chale wa modewjiblog yupo kwenye eneo la tukio akiendelea
kufuatilia kikaango hicho kilichovuta hisia za wengi…Endelea
kufuatilia modewjiblog kwa picha na stori kamili zitawajia hivi punde.
No comments:
Post a Comment