|
Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Deodatus Kinawiro
akizungumza na wananchi wa Chunya waliofika katika uzinduzi wa zoezi la
kusambaza nakala za katiba mpya inayopendekezwa kwa wananchi.
|
| Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Deodatus Kinawiro akiwasomea wananchi wake moja ya vipengere vilivyomo ndani ya Katiba inayopendekezwa. |
| Mkurugenzi wa Halmashauri yaWilaya ya Chunya, Sophia Kumbuli, akitoa taarifa juu ya nakala zitakazosambazwa kwa wananchi wa Wilaya ya Chunya |


No comments:
Post a Comment