MAFUNZO YA KAMATI ZA MAADILI ZA MAHAKAMA ZA MIKOA YA DODOMA NA SINGIDA YAHITIMISHWA MJINI DODOMA
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma,Mhe. Chiku Gallawa akisisitiza kamati za maadili za
mahakama za mikoa ya Dodoma na Singida kusaidia kupunguza malalamiko ya
wananchi juu ya masuala ya kimahakama wakati akifunga mafunzo ya siku
mbili ya kamati hizo mjini Dodoma Feb. 10, 2015. Wajumbe
wa Kamati za Maadili za Mahakama za Mikoa ya Dodoma na Singida
wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku
Gallawa wakati akifunga mafunzo ya siku mbili kwa kamati hizo Mjini
Dodoma Feb. 10, 2015.
No comments:
Post a Comment