Kaimu mkurugenzi wa fedha na
utawala wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Yahaya Ally, akitoa taarifa ya
fedha ya Mfuko huo wakati wa mkutano wa nne wa wanachama na wadau wa
PSPF, mjini Dodoma. Mkutano huo ulioanza Februari 18, umefungwa leo.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa
Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akisikiliza kwa makini majadiliano ya
wanachama na wadau wa Mfuko huo wakati wa mkutano mkuu wa nne wa
wanachama na wadau wa PSPF mjini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta,
Sabasaba Moshingi, akitoa mada, kuhusu benki hiyo inavyoweza kuwasaidia
wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kutokana na ushikiano wa
kibiashara baina ya taasisi nhizo mbili, wakati wa mkutani mkuu wa nne
wa wanachama na wadau wa PSPF mjini Dodoma.
Dkt.Bill Kiwia, akijibu hoja
mbalimbali za washiriki wa mkutano mkuu wa nne wa wanachama na wadau wa
Mfuko wa Pensehni wa PSPF kuhusu ushindani wa mifuko ya hifadhi ya jamii
na tahadhari ya kuchukua a,kitolea mfano wa Tanzania mjini Dodoma leo.





No comments:
Post a Comment