![]() |
Lilikuwa
tukio la kushangaza kwenye TV ya Uholanzi usiku baada ya kijana mwenye
silaha kuvamia studio za televisheni ya taifa na kukata kuwekwa hewani.
NOS ilizimwa kwa saa baada ya mshukiwa huyo aliyevaa vizuri, aliyekuwa na bunduki ya kimya, kushikiliwa studio hiyo.
Ila kamera ziliendelea kurekodi wakati polisi walipoingia ili kumpokonya silaha.
Ripota
aliyezungumza na mshukiwa huyo alisema, kijana huyo ni mwanafunzi wa
miaka 19, aliyedai kuwa mfuasi wa wadukuzi wanafanya kazi katika idara
ya ujasusi ya Uholanzi.
![]()
Mshtakiwa huyo alidai kuwa ni mfuasi wa wadukuzi wanaofanya kazi katika idara ua ujasusi ya Uholanzi
Hakuna aliyejeruhiwa katika tukio hilo japo risasi zilifyatuliwa.
Ilikuwaje kijana huyu kuingia studio akiwa na silaha?
|
February 1, 2015
TUKIO LA KUSHANGAZA LATOKEA KWENYE TV UHOLANZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment