![]() |
| Waziri wa Fedha Saada Mkuya akitoa ufafanuzi juu ya maswali ya wabunge. |
![]() |
| Mgeni Rasmi katika Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Waziri wa Uchukuzi,Mh. Samuel Sitta akiwasilisha mada katika semina hiyo iliyofanyika leo mjini Dodoma |
.Kamishna wa Sensa Tanzania, Hajjat Amina Mrisho akiwasilisha mada




No comments:
Post a Comment