![]() |
Obama anataka baraza la congress liidhinishe vita dhidi ya ISIS. |
Washington (CNN) Idadi ya wapiganaji wa nje wanaojinunga na kundi la kigaidi la IS inazika kwa kasi ,ofisa wa ngazi ya juu wa masuala ya ugaidi ameonya.
Nicholas
Rasmussen, Mkurugenzi wa taasisi inayochunguza masuala ya ugaidi anasema kwamba zaidi ya wapiganaji wapya 20,000 kutoka nchi 90 wamejiunga na kundi hilo la kigaidi.
No comments:
Post a Comment