KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 30, 2015

BONDIA VICENT MBILINYI AMGALAGAZA YUSUFU MKALI KWA K,O

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde  na Yusufu Mkali wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbilinyi alibuka na ushindi wa K,O ya raundi ya tatu kwa kumpiga makonde mfululizo Picha na SUPER D BOXING NEWSNa Mwandishi Wetu
BONDIA Chipkizi katika tasnia ya mchezo wa masumbwi nchini anaekuja kwa kasi Vicent Mbalinyi mwishoni mwa wiki iliyopita amefanikiwa kumpiga kwa K,O ya raundi ya tatu
bondia Yusufu Mkali mpambano uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa manyara parck manzese 
mpambano uho ulioanza kwa mashambilizi ya zam kwa zam na kushangiliwa na mashabiki wa kila upande ambapo kili mmoja alikuwa na molali ya mchezo uho ata hivyo ilivyofika raundi ya tata Mbilinyi alipiga  ngumi mchanganyiko mfululizo na refarii Saidi Chaku alisimamisha mpambano uho uku bondia Mkali akichuluzikwa na damu nyingi juu ya jicho kwa ngumi alizopigwa
mpambano uhu ni wa nne kwa mbilinyi tokea aingie rasmi katika masumbwi ya kulipwa akiwa chini ya kocha Rajabu Mhamila 'Super D' katika mchezo wake wa kwanza alicheza na Kulwa Bushili

 ambaye alimshinda kwa pointi mchezo wake wa pili alicheza na  Halidi Manjee mchezo ambao ulikuwa na upinzani wa ali ya juu katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba na kufanikuwa kumnyuka Manjee mchezo wake wa tatu alicheza katika uwanja wa ndani wa taifa na Epson John wa Morogoro na kutoka nae droo ya kufungana kwa point za majaji

No comments:

Post a Comment