KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 29, 2015

DR SHEIN AFUNGUA GLOBAL HOSPITAL VUGA MJINI UNGUJA.

z3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuifungua Hospitali ya Global  Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (kushoto ni Dkt,K.Ravindranath Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital (kulia)  Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky  Salim Hassan Turky, 
z4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo alipotembelea mashine ya Xray baada ya kuifungua Hospitali ya Global  Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (wa kwanza kulia) Dkt,K.Ravindranath Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital.
z5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital Dkt,K.Ravindranath(wa pili kulia) na  Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky  Salim Hassan Turky wakiangalia mashine ya kufanyia Upasuaji wakati alipotembelea  Hospitali ya Global  Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo baada ya kuifungua rasmi, [Picha na Ikulu.]                                                         

No comments:

Post a Comment