Mhe. Balozi Liberata Mulamula akimtambulisha mdogo wake mchungaji Joycelyne Rutageruka ambaye amekuja kumtembelea Mhe. Balozi toka nyumbani Tanzania nae akitoa neno kwenye mkutano mkuu wa Wasabato wa Watanzania waishio nchini Marekani uliofanyika siku ya Jumamosi April 18, 2015 Silver Spring, Maryland. |
Mhahubiri yakiendelea |
No comments:
Post a Comment