KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 21, 2015

BOHARI YA DAWA (MSD) YAELEZEA MIKAKATI YAKE

 Kaimu Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja na Shughuli za Kanda wa Bohari ya Dawa (MSD),  Edward Terry (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ukumbi wa Idara Habari Maelezo jijini Dar es Salaam mipango ya MSD na mambo mengine. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa MSD, Etty Kusiluka.
Etty Kusiluka akitoa ufafanuzi wa masuala kadhaa
 Mkutano na wanahabari ukiendelea.                      

No comments:

Post a Comment