![]() |
Mkuu wa Kikoso cha Zimamoto Zanzibar Kamishna Ali Abdalla Maalim Ussi akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipotembelea kiyuo cha Zima moato kiliopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume alipofanya ziara maalum leo
|
![]() |
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Mshauri mwelekezi wa kampuni ya adpi ya
Ufaransa Guillaume VERNA wakati alipofanya
ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Ujenzi wa jengo hilo katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,
|
![]() |
| Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo ya kiufundi kutoka kwa Mshauri mwelekezi wa kampuni ya
adpi ya Ufaransa Guillaume VERNA wakati alipofanya ziara maalum ya
kutembelea maendeleo ya Ujenzi wa jengo la Abiria Terminal II unaojengwa
na kampuni ya Kichina katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume leo (kushoto)Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili , Picha zote na Ikulu |





No comments:
Post a Comment