Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mkuu wa Wilaya Kati
Unguja Vuai Mwinyi Seti za jezi na vifaa vyengine kwa Timu za Wilaya
yake wakati hafla ya Sherehe ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu 40
za Jimbo la Uzini vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo Mohamed Raza
katika uwanja wa mpira Bambi jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa nasaha zake
kwa wanamichezo wa Jimbo la Uzini baada ya kukabidhi vifaa mbali mbali
vya Michezo leo katika uwanja wa mpira Bambi vilivyotolewa na Mwakilishi
wa Jimbo hilo Mohamed Raza Daramsi na kuwataka vijana hao kuvitunza na
kuthamini mchamngo huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na
Mtoto Munira Khamis wa Bambi baada ya kumalizika kwa sherehe za utoaji
wa Vifaa vya Michezo kwa Jimbo la Uzini jana vilivyotolewa na Mwakilishi
wa Jimbo hilo Mohamed Raza.





No comments:
Post a Comment