TFF iliwakilishwa na Wakili Msomi Emmanuel Muga na
Dr. Ndumbaro hakufika wala hakuwakilishwa na wakili wake.
Kufuatia kutofika kwa Dr. Ndumbaro, Kamati, kwa
Azimio moja, iliamuru TFF itoe wito mpya na
mpaka tarehe 14/04/2015 uwe umemfikia Dr. Ndumbaro, ukimfahamisha tarehe
ya kikao kijacho cha kusikiliza rufaa yake.
Imetolewa na Mwenyekiti,
REVOCATUS KUULI
MWENYEKITI WA KAMATI
12/04/2015.
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)


No comments:
Post a Comment