Balozi
Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akisalimiana na
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake
Vuga Mjini Zanzibar.
Balozi
Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akijitambulisha
rasmi kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Balozi
Seif akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar
Bwana Satendar Kumar Ofisini kwake Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akipokea zawadi kutoka kwa Balo


No comments:
Post a Comment