| Viongozi wa Vyama vya Mpira Zanzibar wakiwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wakiipokea timu ya Wachezaji wa zamani wa Barcelona walipowasili Zanzibar. |
| Wachezaji Nyota wa Timu ya Barcelona wakisalimiana na Viongozi wa Vyama vya Michezo Zanzibar baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara ya siku moja kwa mualiko wa Rais wa Zanzibar Dk Shein. |


No comments:
Post a Comment