Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS),kutokaTanzania Dkt. Albina
Chuwa akifungua mkutano wa Wakurugenzi na Watalaam wa Takwimu kutoka
nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kujadili mausuala
mbalimbali ya Takwimu leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Takwimu Uganda Bw. Ben
Mungyereza akizungumza jambo wakati wa mkutano wa Wakurugenzi wa Takwi
mu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashari kikuhusu utayari wa
nchi yake katika matumizi ya Takwimu mbalimbali.
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Takwimu Rwanda Bw. Yusuf Murangwa akitoa mchango wake
kuhusu umuhimu wa ushirikiano wa matumizi ya Takwimu baina ya nchi
Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki leo jijini Dar es salaam.





No comments:
Post a Comment