KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 14, 2015

SELCOM YAMWAGA MAPESA KWA WASHINDI WA SHINDA NA SELCOM

Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bi.Winfrida Shoo mkazi wa sinza Dar es salaam anaeshuhudia katikati ni  Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta mshindi huyu alinunua muda wa maongezi kupitia Advans Bank Mobile banking

Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bw.Khalid Kasim mkazi wa mbagala  Dar es salaam anaeshuhudia katikati ni  Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta mshindi alinunua LUKU kwa wakala wa Selcom
Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bw.Shafii Liumbo mkazi wa Mtoni Mtongani Dar es salaam anaeshuhudia katikati ni  Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta mshindi huyu alinunua LUKU kwa Wakala

Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bw.Bonface Richard wa Banana Dar es salaam anaeshuhudia katikati ni  Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta mshindi huyu alinunua  LUKU kwa Wakala
Washindi wakiwa katika picha ya pamoja



No comments:

Post a Comment