KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 7, 2015

UNESCO NA YUNA WAMKABIDHI MHE.MASAUNI TUZO

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Mlezi wa Jumuiya ya Tanzania Yuoth Icon (TAYI) Mhe.Eng Hamadi Yussuf Masauni akikabidhiwa Cheti cha Mchango wake kwa Vijana kuhusiana na Amani kutoka kwa Mratibu wa UNESCO kwa Vijana Tanzania Ndg Simba Mwinyi Simba kwa kutambua mchango wake kwa Vijana Zanzibar kudumisha amani, hafla hiyo mefanyika katika Kituo cha Vijana cha TAYI muembemadema Zanzibar  
Mhe.Eng. Masauni akioneshga Cheti chake baada ya kukabidhia kilichotolewa na YUNA kujali mchango wake kwa Vijana Zanzibar.
Mhe Eng.Hamad Yussuf Masauni, akizungumza na Vijana wakati wa hafla ya kukabidhiwa Vyeti ilioendana na Kongamano la Vijana kuhusiana na Amani Zanzibar lililowashirikisha vijana wa TAYI na wa Vyuo Vikuu Zanzibar lililofanyika katika Kituo cha TAYI Muembemadema Zanzibar na kudhaminiwa Unesco.                         

No comments:

Post a Comment